Kiasmat cha Kati

Kiasmat ya Katikati ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waasmat. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kiasmat ya Katikati imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiasmat ya Katikati iko katika kundi la Kiasmat.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy